• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Man Utd, Tottenham zagombea saini ya striker wa Fenerbahce

  (GMT+08:00) 2019-12-13 18:47:16

  Klabu za Manchester United na Tottenham Hotspur zimeingia vitani kuwania saini ya mshambuliaji wa timu ya Fenerbahce ya Uturuki, Vedat Muriqi. Mshambuliaji huyo mwenye mabao 10 katika mechi 14 amekuwa akimvutia kocha wa Tottenham, Jose Mourinho na Ole Gunnar Solkjeur wa Manchester United. Lakini pia Muriqi inasemekana anawindwa na klabu ya Bournemouth, na kinachosubiriwa ni klabu yake kuonyesha wapi anaweza kwenda.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako