• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi Jinping wa China kuhudhuria maadhimisho ya miaka 20 tangu Macao irudi China

  (GMT+08:00) 2019-12-14 17:18:17

  Rais Xi Jinping wa China atakwenda kwenye mkoa wa utawala maalumu wa Macao tarehe 18 hadi 20 mwezi huu, ambapo atahudhuria mkutano wa kuadhimisha miaka 20 tangu Macao irudi China, pamoja na sherehe ya kuapishwa kwa serikali ya awamu ya tano ya mkoa wa utawala maalumu wa Macao.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako