• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Afrika mbioni kuunganisha umeme kati ya mataifa mbalimbali

    (GMT+08:00) 2019-12-16 20:54:18
    Benki ya Maendeleo ya Afrika na Wakala wa Maendeleo wa Umoja wa Afrika (AUDA-NEPAD) wamekubaliana kuendeleza muundo wa mtandao wa umeme na soko lake barani Afrika.

    Makubaliano hayo ni ya kuweka Mpango wa mfumo wa kawi wa bara na umezinduliwa wakati wa semina ya siku kuhusu Maendeleo ya Miundombinu mjini Cairo.

    Mshauri Mkuu wa Nishati kwenye AUDA-NEPAD Mosad Elithoiry amesema mpango mkuu wa mfumo huo utahakikisha masoko ya umeme yenye ushindani katika ngazi za kikanda na bara na kutoa fursa za kipekee kutumia rasilimali kubwa za nishati barani Afrika .

    Warsha hiyo ililenga kukuza uzinduzi wa Mtandao wa Ushirikiano wa Afrika (ICTN) ili kuunganisha huduma za kawi za kitaifa na zile za kikanda .

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako