• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matangazo ya televisheni ya Michezo ya CCTV ya CMG yarushwa rasmi mkoa wa utawala maalumu wa Macao

  (GMT+08:00) 2019-12-17 20:26:14

  Matangazo ya televisheni ya Michezo ya CCTV iliyo chini ya Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) yamerushwa rasmi leo katika mkoa wa utawala maalumu wa Macao.

  Mkuu wa CMG Bw. Shen Haixiong amesema, kurushwa kwa matangazo hayo mkoani Macao kumeonyesha kuwa serikali kuu ya China inawafuatilia ndugu wa Macao, na kutafanya umuhimu kwa kuburudisha watu wa Macao, kuinua uelewa wao kwa maendeleo ya mambo ya michezo na mafanikio ya ujenzi wa taifa katika China bara.

  Mkuu wa mkoa wa Utawala Maalum wa Macao Bw. Cui Shian amesema hatua hiyo itasaidia kuhimiza mawasiliano ya utamaduni kati ya Macao na China bara, pamoja na maendeleo ya kijamii na kiuchumi mkoani humo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako