• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mkutano wa 14 wa mawaziri wa mambo ya nje wa ASEM wafungwa

  (GMT+08:00) 2019-12-17 20:33:59

  Mkutano wa 14 wa mawaziri wa mambo ya nje wa nchi za Asia na Ulaya (ASEM) umefungwa nchini Hispania, ambapo waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi amehudhuria mkutano huo.

  Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Geng Shuang amesema, katika mkutano huo, Wang Yi alielezea msimamo wa China juu ya hali yenye pande nyingi na kupinga kutumia vibaya sheria ya ndani kwa nchi nyingine na vikwazo vya upande mmoja.

  Bw. Geng amesema, China iko tayari kushirikiana na pande mbalimbali barani Asia na Ulaya kutekeleza makubaliano yalioyofikiwa katika mkutano huo, kuendelea kushikilia hali yenye pande nyingi, kuendelea kuongeza utulivu, na kuingiza nguvu mpya kwa amani na maendeleo ya dunia.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako