• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Huduma za usafirishaji kwenye reli ya Nairobi kwenda Naivasha (SGR) yazinduliwa

  (GMT+08:00) 2019-12-17 21:09:34

  Huduma za usafirishaji kwenye reli ya Nairobi kwenda Naivasha (SGR) itazinduliwa tayari imezinduliwa na Rais hii leo.

  Waagizaji watalipa $ 600 (Sh60,960) kwa kubeba kontena lenye urefu wa futi 20 kwa mji wa Rift Valley kutoka Bandari ya Mombasa.

  Rais Uhuru Kenyatta amezindua huduma hiyo, akiwa amezindua huduma ya abiria kwenye reli iliyojengwa na Wachina katikati ya mwezi Oktoba.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako