• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ho Iat Seng aapishwa kuwa mtendaji mkuu wa Macao mbele ya rais Xi

    (GMT+08:00) 2019-12-20 10:21:41

    Bw. Ho Iat Seng ameapishwa kuwa mtendaji mkuu wa mkoa wa utawala maalum wa Macao. Baada ya kula kiapo kwa mujibu wa sheria ya kimsingi ya mkoa huo, Bw. Ho alishikana mikono na rais Xi Jinping wa China.

    Baada ya hapo, maofisa wakuu wa serikali ya awamu ya 5 ya mkoa huo waliapishwa na mbele ya rais Xi chini ya uongozi wa Bw. Ho. Kisha, mbele ya Bw. Ho, wajumbe wa Baraza la Utendaji la Mkoa huo waliapishwa kwa pamoja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako