• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Super Eagles haina mastaa tena

    (GMT+08:00) 2019-12-20 18:37:08

    Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Nigeria 'Super Eagles', Gernot Rohr, amesisitiza kikosi hicho kimekosa mvuto kama ilivyokuwa miaka ya nyuma. Rohr ameweka bayana kwasasa Super Eagles imekosa wachezaji wakali kama Nwankwo Kanu na Austin Okocha waliyowahi kutesa miaka ya nyuma. Kocha huyo amesema, hakuna tena wachezaji kama hao, na kuweka wazi kuwa Super Eagles ya sasa imesheheni vijana wengi na wanajitahidi kwa kiwango chao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako