• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Stempu za kidijitali zimepiga jeki ukusanyaji wa ushuru ya bidhaa

  (GMT+08:00) 2019-12-20 19:00:08
  Uazilishi wa mifumo ya kidijitali ya kitaifa ya ukusanyaji wa ushuru ikiwa ni pamoja na mfumo wa usimamizi wa Stesheni za Ushuru wa Elektroniki (ETS) kwa bidhaa ni kati ya hatua zilizorekodiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mwaka huu.

  Stempu za kidijitali zimepokelewa ulimwenguni kote kwa kupunguza kudanganya kwa ushuru kupitia kuweka wazi oparesheni zote na pia kukomesha utengenezaji na uingizaji wa bidhaa bandia katika masoko.

  Kamishna wa mapato ya ndani ya TRA, Abdul Mapembe, alielezea kwamba ushuru ulirekodi ongezeko la asilimia 35 sawa na ongezeko la sh bn 9.130bn / - katika ushuru na VAT wakati wa miezi ya Julai hadi Septemba 2018.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako