• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Ancelotti aanza kumpa presha kocha Liverpool

  (GMT+08:00) 2019-12-24 16:47:55

  Kocha mpya wa timu ya Everton Carlo Ancelotti amesema atavunja rekodi ya Jurgen Klopp kwa kuifunga Liverpool katika mchezo wa Ligi Kuu England. Ancelotti amesema hayo baada ya kutangazwa kuchukua nafasi ya kocha wa Everton Marco Silva ambaye amefukuzwa. Ancelotti amesema anataka kuendeleza ubabe kwa Klopp katika Ligi Kuu England kwa kuwa tayari anazijua mbinu za Mjerumani huyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako