• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda inazuia usafirishaji wa pilipili kuepukana kupigwa marufuku na Jumuiya ya Ulaya

    (GMT+08:00) 2019-12-24 18:41:11

    Uganda ikiangalia uwezekano wa kupoteza soko lake la Jumuiya ya Ulaya (EU), Wizara ya Kilimo ya Uganda imepiga marufuku mauzo ya nje ya pilipili kwa wafanyibiashara wachache ambao bado hawajafikia mahitaji makali yaliowekwa kwa ajili ya bidhaa kuepukana na kupigwa marufuku na Jumuiya ya Ulaya.

    Kizuizi kitafanya katika muda wa miezi nne hadi Aprili 2020 lakini wauzaji wanaoweza kufuata hali ya usafi wataruhusiwa kuendelea na usafirishaji wa kawaida hata wakati huo.

    Mapato ya Uganda kutoka kwa kilimo cha mboga na matunda kilikadiriwa kupungua kutoka wastani wa dola milioni 130 kwa mwaka kati ya 2012 na 2014 hadi kati ya $ 80 na $ 100 kati ya 2016 na 2018.

    Kila nchi ina jukumu la kudhibiti wadudu na sio kufanya biashara ya bidhaa zilizona wadudu agizo hili ni chini ya Mkataba wa Kimataifa wa Ulinzi wa mimea.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako