• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wawekezaji wa ndani wafanya vyema katika Soko la Hisa la Dar

  (GMT+08:00) 2019-12-24 18:41:59

  Ushiriki wa ndani katika Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE) uliongezeka sana katika robo ya mwisho ya 2019 ikilinganishwa na utendaji wa mwaka jana katika kipindi hicho hicho.

  Soko la hisa limeonyesha wawekezaji wa ndani waliongeza ununuzi wao hadi asilimia 28.68 kati ya Oktoba na Desemba, kutoka asilimia 9.85 kwa robo hiyo hiyo mwaka 2018, wakati uuzaji na wawekezaji wa ndani uliongezeka hadi asilimia 21.7 mwanzoni mwa wiki hii, kutoka kwa asilimia 19.75 katika kipindi kama hicho kinachoangaliwa mwaka jana.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako