• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • OLIMPIKI: Washiriki wa mashindano ya Olimpiki waonywa kutoendekeza starehe

  (GMT+08:00) 2019-12-25 18:04:10

  Rais wa Kamati ya Taifa ya Olimpiki ya Kenya (NOC-K) Paul Tergat ameaonya washiriki wa mashindano ya Olimpiki ya Tokyo kupumzika vema wakati wa sikukuu ili kuepuka kuharibu miili yao. Katika ujumbe wake wa salamu za Christmas na Mwaka Mpya, Kamati hiyo imesema imeridhika na maandaalizi ya mashindano ya Olimpiki ya Tokyo yatakayoanza Julai 24 hadi Agosti 9 nchini Japan. Kamati hiyo imewataka washiriki hao kuwashawishi vijana kujiunga na michezo na kuwa na maisha mazuri.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako