• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Israel yathibitisha kwa mara ya kwanza kuwa iliwahi kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya mashabaha nchini Iraq

  (GMT+08:00) 2019-12-26 09:09:19

  Mnadhimu mkuu wa jeshi la Israel amesema kwenye mkutano wa usalama uliofanyika huko Tel Aviv kuwa, hivi sasa Iraq inashuhudia vita vya wenyewe kwa wenyewe, kikosi cha Quds chini ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran kinatumia fursa hii kufanya magendo ya kusafirisha silaha kwenda Iraq. Ili kuzuia maadui kupata silaha hizo za kisasa, Israel imewahi na kuendelea kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya shabaha nchini Iraq. Vyombo vya habari vya Israel vinaona kuwa hii ni mara ya kwanza kwa Israel kuthibitisha kuwahi kufanya mashambulizi nchini Iraq.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako