• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wakuu wawili wa Kundi la Taliban wauawa nchini Afghanistan

  (GMT+08:00) 2019-12-26 09:10:15

  Vikosi vya operesheni maalumu vya Afghanistan vimesema kupitia taarifa kuwa, wapiganaji kumi wakiwemo wakuu wawili wa wilaya wa kundi la Taliban Mullah Abdul Rauf na Mullah Abdul Wasi waliuawa katika mapambano yaliyotokea kwenye mikoa ya Herat na Daykundi nchini Afghanistan. Wakati wa operesheni hiyo, vikosi vya usalama vilikamata bunduki aina ya AK-47, pikipiki moja, na simu mbili za mkononi pamoja na vifaa vingine. Kundi la Taliban bado halijasema lolote kuhusu matukio hayo mawili au kuthibitisha vifo vya wanachama wake.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako