• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mtu mmoja auawa katika mlipuko wa bomu Baghdad

  (GMT+08:00) 2019-12-26 09:10:45

  Wizara ya mambo ya ndani ya Iraq imesema raia mmoja ameuawa na wengine wanne wamejeruhiwa katika shambulizi la bomu lililotokea jana karibu na uwanja wa soka mashariki mwa Baghdad. Kikosi cha usalama cha Iraq kimezingira eneo la tukio na kuanza uchunguzi kuhusu tukio hilo. Hadi sasa hakuna kundi lolote lililotangaza kuwajibika na shambulizi hilo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako