• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Coutinho afikiria kurudi England

  (GMT+08:00) 2019-12-26 17:01:40

  Staa raia wa Brazil, Phillipe Coutinho amefungua mlango wa kurudi kwenye Ligi Kuu England mwakani kama Bayern Munich watagoma kumchukua moja kwa moja wakati muda wake wa mkopo utakapokamilika. Barcelona wamempeleka Coutinho kwa mkopo Bayern Munich kwa msimu mzima huku kukiwa na makubaliano ya kumchukua jumla kama watapendezwa naye itakapofika mwisho wa msimu. Kama akishindikana kubaki Bayern, huenda akarudi Uingereza, kwa kuwa klabu za Manchester United na Tottenham Hotspur zimeonekana kutaka huduma zake tangu msimu uliopita.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako