• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Tanzania haikamatiki Copa Dar es Salaam

  (GMT+08:00) 2019-12-26 17:01:59

  Timu ya Tanzania ya mchezo wa soka la ufukweni inaongoza baada ya kucheza michezo miwili na kushinda yote katika mashindano ya Copa Dar es Salaam yanayoshirikisha nchi tano. Mashindano hayo ambayo yanachezwa katika fukwe za Coco, Dar es Salaam, yanashirikisha wenyeji Tanzania, timu za Shelisheli, Uganda, Burundi na Malawi. Tanzania inaongoza ikifuatiwa na Burundi na Shelisheli, zote zikiwa na point tatu baada ya kucheza michezo miwili, Uganda ina point moja na Malawi haina point.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako