• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China na Marekani zaendelea na ajenda ya makubaliano ya kibiashara ya kipindi cha kwanza

  (GMT+08:00) 2019-12-26 19:33:05

  Msemaji wa wizara ya biashara ya China Bw. Gao Feng amesema, timu za biashara za China na Marekani hivi karibuni zilifikia makubaliano ya kipindi cha kwanza, na zinaendelea na ajenda ya lazima.

  Amesema ajenda hiyo ni pamoja na kazi za uchunguzi wa kisheria, kutafsiri na kusahihisha, na pande hizo mbili zitadumisha mawasiliano kuhusu hatua zitakazofuata.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako