• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uganda yaagiza zaidi kuliko inavyouza nje

  (GMT+08:00) 2019-12-26 20:00:56

  Pengo kati ya uagizaji wa bidhaa za Uganda ikilinganishwa na uuzaji nje, limeongezeka kwa asilimia 45.1 katika miezi 12 ya hadi Oktoba 2019.

  kulingana na ripoti ya sera ya fedha ya Benki ya Uganda ongezeko hilo lilisababishwa na ukuaji wa uagizaji wa sekta binafsi.

  Kupanuka kwa nakisi ya akaunti ya sasa inamaanisha kulikuwa na uagizaji mwingi kwa kutumia sarafu ya kigeni kuliko uingiaji wa fedha za kigeni.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako