• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China yatoa Mwongozo kwenye sekta za benki na bima

  (GMT+08:00) 2019-12-26 20:01:27

  China imetoa mwongozo wa kuratibu zaidi oparesheni za benki na taasisi za bima katika kutumia huduma za kifedha ili kuleta utulivu katika biashara ya nje.

  Mwongozo huo umetolewa kwa pamoja na Tume ya Udhibiti wa Benki ya China na Bima.

  Mwongozo utasaidia juhudi katika kudhibiti zaidi biashara zinazohusiana na biashara ya nje ya sekta ya benki na bima.

  Unaorodhesha mahitaji maalum 29, pamoja na marekebisho na hakiki za ukaguzi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako