• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Waziri mkuu wa Israel atangaza kushinda uchaguzi wa chama chake

  (GMT+08:00) 2019-12-27 09:15:42

  Waziri mkuu wa Israel Bw. Benjamin Netanyahu ametangaza kushinda uchaguzi wa awali wa chama chake cha Likud kwa kupata asilimia 70 za kura, wakati mpinzani wake Bw. Gideon Saar akipata asilimia 30 ya kura. Matokeo hayo yamehakikisha uongozi wa Bw. Netanyahu katika chama cha Likud kabla ya uchaguzi mkuu utakapofanyika Machi 2. Msemaji wa chama cha Likud amesema, matokeo ya mwisho yanatarajiwa kutangazwa leo asubuhi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako