• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Watuhumiwa 20 wa kigeni wa kundi la IS washikiliwa huko Istanbul

  (GMT+08:00) 2019-12-27 09:16:13

  Shirika la habari la Uturuki Anadolu limeripoti kuwa, polisi wanawashikilia wageni 20 na raia mmoja wa Uturuki huko Istanbul kwa kushukiwa kuhusiana na kundi la IS. Polisi ya nchi hiyo imefanya operesheni kwenye maeneo 48 kote nchini ili kuwakamata watuhumiwa hao ambao wanaaminika kupanga mashambulizi ya kigaidi. Uraia wa watuhumiwa wageni bado haujajulikana.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako