• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA:Liverpool yaikaribisha vizuri nyumbani Wolves kwa kuwapa zawadi ya bao 1-0

  (GMT+08:00) 2019-12-30 08:41:56

  Timu ya Liverpool jana ndani ya Uwanja wao wa nyumbani wa Anfield imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Wolves. Sadio Mane alipachika bao pekee la ushindi dakika ya 42 kipindi cha kwanza lililodumu mpaka dakika ya 90. Ushindi huo unaifanya Liverpool izidi kujijengea utawala wake kileleni ikiwa na pointi 55. Wolves wao wanabakiwa na pointi zao 30 nafasi ya 8 baada ya kucheza mechi 20 huku Liverpool ikiwa imecheza mechi 19 pekee na ina mchezo mmoja kibindoni ili kuweka usawa wa mechi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako