• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uchaguzi mkuu wa Guinea Bissau wafanyika bila tukio lolote

  (GMT+08:00) 2019-12-30 09:11:18

  Vituo vyote vya upigaji kura vimefungwa saa 11 mchana kwa saa za huko nchini Guinea Bissau. Msemaji wa tume ya uchaguzi ya nchi hiyo bibi Felisberta Moura Vaz ameyasema hayo na kukanusha habari kuhusu kuwepo kwa udanganifu katika uchaguzi. Amesema, matokeo ya uchaguzi yatatangazwa tarehe 1 Januari mwaka kesho. Kiongozi wa ujumbe wa uangalizi wa Umoja wa Afrika Joaquim Rafael Branco ametangaza kuwa hakuna tukio lolote lililoripotiwa kwenye uchaguzi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako