• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Iran kuendesha mkutano wa Pendekezo la amani la Hormuz mwezi ujao

  (GMT+08:00) 2019-12-30 09:11:47

  Mji wa Tehran utakuwa mwenyeji wa mkutano wa Pendekezo la amani la Hormuz unaotarajiwa kufanyika mwezi ujao. Mkutano huo unapangwa kufanyika tarehe 7 hadi tarehe 8 Januari, na kufuatilia mipango ya ushirikiano wa kikanda hasa kuhusu pendekezo la amani la Hormuz lililotolewa na Iran mwezi Novemba kwenye Kikao cha 74 cha Baraza kuu la Umoja wa Mataifa. Maofisa wa kisiasa na wataalamu wa kanda hiyo wanatarajiwa kuhudhuria mkutano huo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako