• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Man United yamgeukia kinara wa mabao Lyon

  (GMT+08:00) 2019-12-30 18:23:45

  Pamoja na kuwa Kocha wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer amekosa saini ya kinda Erling Haaland, lakini hajakata tamaa ya kuisuka timu hiyi, na sasa anatupia jicho kusajili mshambuliaji na kiungo. Hivi sasa timu hiyo inasaka kiungo kwa kuwa haina uhakika kama Paul Pogba atabaki kwenye timu hiyo ama la. Pia Kocha huyo kwa sasa anamsaka kwa udi na uvumba mshambuliaji wa Lyon, Moussa Dembele, ambaye klabu hiyo imemsaka kwa muda mrefu. Dembele pia anatajwa kuwa mrithi wa Romelu Lukaku aliyetimkia Inter Milan.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako