• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • KCB kuongeza mashambulizi katika Ligi Kuu ya Kenya

  (GMT+08:00) 2019-12-30 18:24:07

  Timu ya soka ya Benki ya Biashara ya Kenya (KCB) inalenga kudumisha matokeo mazuri katika awamu ya pili ya Ligi Kuu ya Kenya (KPL) msimu wa mwaka 2019/2020. Timu hiyo imeshinda mechi saba, kutoka draw mechi nne na kukusanya pointi 25. Ikiwa nafasi ya sita kwenye msimamo wa Ligi hiyo, KCB inajiandaa kuongeza mashambulizi ili kuhakikisha inasonga mbele zaidi katika Ligi hiyo. Timu hiyo itaanza msimu wa pili wa Ligi hiyo kwa kukutana na Mathare United Januari 4 katika Uwanja wa Kasarani, ikifuatiwa na mechi dhidi ya Sofapaka na Chemeli Sukari.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako