• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China yapinga Marekani kupaka matope juhudi zake za kupambana na ugaidi mkoani Xinjiang

  (GMT+08:00) 2019-12-30 19:34:57

  Msemaji wa wizara ya mambo ya njeya China Bw. Geng Shuang amesema, China inapinga kithabiti kitendo cha Marekani kupaka matope juhudi za China katika mapambano dhidi ya ugaidi mkoani Xinjiang, na China inaitaka Marekani kushughulikia vizuri mambo yake na kutoingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine.

  Bw. Geng amesema, hivi sasa, uchumi wa Xinjiang unaendelea kuendelezwa, jamii inaishi kwa masikilizano, maisha yanazidi kuboreshwa, na uhuru wa kuabudu unatimizwa kwa utulivu. Kuhusu mkoa wenye utawala maalum wa Tibet, Geng amesema, tangu Tibet ikombolewe kwa amani miaka 60 iliyopita, uchumi umepata maendeleo makubwa, utamaduni wa jadi umelindwa, na jamii zinaishi kwa utulivu na masikilizano.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako