• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Bei ya duni ya maziwa ni ya muda, Museveni hakikishia wakulima

  (GMT+08:00) 2019-12-30 20:17:20
  Rais Museveni amewataka wakulima kuendelea na uzalishaji wa maziwa licha ya bei ya chini ya maziwa.

  Museveni amesema bei ya chini ya mazao ya kilimo, haswa maziwa ni changamoto za muda na aliwataka wakulima kutokata tamaa.

  Museveni amesema watu wengi wamekumbatia kilimo cha maziwa na biashara.

  Na amewataka wakulima kuendelea na uzalishaji wa ziada, kwa kuwa itatimiwa na masoko ya ndani na nje.

  Bei ya mlango ya lita moja ya maziwa katika sehemu nyingi za Kiruhura imekuwa Shs 300 katika miezi mitano iliyopita tofauti na mwaka mmoja na nusu nyuma, ambapo ilikuwa kati ya Sh1,000 na Sh1,500 kwa lita.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako