• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Idadi ya watoto wanaoshambuliwa yaongezeka mara tatu ndani ya miaka 10 iliyopita.

  (GMT+08:00) 2019-12-31 10:27:13

  Shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF, limetoa ripoti kuwa katika miaka 10 iliyopita, muda wa mashambulizi unaendelea kuongezeka na kusababisha vifo na majeruhi zaidi kwa watoto. Mkurugenzi mtendaji wa UNICEF Bibi Henrietta Fore, amesema pande zinazopambana hazizingatii ulinzi wa watoto ambao ni kanuni ya msingi ya vita. Pia amesema ingawa mapambano makali yamefuatiliwa na kulaani na jumuiya ya kimataifa, lakini kuna mapambano mengi zaidi ambayo hayakuripotiwa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako