• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatoa kanuni kuhusu utekelezaji wa sheria ya uwekezaji wa kigeni

    (GMT+08:00) 2019-12-31 19:11:03

    China imetoa kanuni kuhusu utekelezaji wa sheria ya uwekezaji wa kigeni ili kulinda vizuri zaidi haki halali na maslahi ya wawekezaji wa kigeni.

    Waziri mkuu wa China Li Keqiang amesaini amri ya Baraza la Serikali la China ya kutangaza kanuni hiyo ambayo zitaanza kutumika Januari Mosi mwaka 2020, siku ambayo sheria hiyo inaanza kutekelezwa.

    Ikiwa ni kanuni sawa na sheria ya uwekezaji wa kigeni, kanuni hiyo inazungumzia maboresho na ulinzi wa uwekezaji wa kigeni na hatua halisi za kuhakikisha utekelezaji wa ufanisi wa sheria hiyo.

    Pia kanuni hiyo zinaelekeza sera ya uwekezaji kwa kampuni kutoka Hong Kong, Macao na Taiwan, na wajibu wa kisheria kwa watakaokiuka kanuni hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako