• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Maonesho 26,000 yafanyika mwaka uliopita katika majumba ya makumbusho nchini China

  (GMT+08:00) 2020-01-01 09:55:36

  Jumla ya maonesho 26,000 na shughuli nyingine 260,000 za kitamaduni zilifanyika mwaka jana katika majumba 5,354 ya makumbusho nchini China. Maonesho na shughuli hizo vimewavutia watalii karibu bilioni 1.13. Kutembelea majumba ya makumbusho katika siku za mapumziko kumekuwa mkondo mpya nchini China, kwani zaidi ya asilimia 40 ya watalii walitembelea majumba ya makumbusho katika msimu wa sikukuu ya mwaka mpya wa jadi ya kichina, siku ya kitaifa, na sikukuu nyingine za kitaifa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako