• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Sofapaka yatema wachezaji watano

  (GMT+08:00) 2020-01-01 16:42:05

  Klabu ya Sofapaka ya Kenya imetema wachezaji watano huku ikipania kupata huduma za wachezaji wawili au watatu baada ya kufunguliwa kwa dirisha dogo la usajili mwezi huu. Sofapaka iliyoshinda Ligi Kuu ya Kenya KPL mwaka 2009, imemsajili golikipa Nicholas Sebwato kutoka timu ya Bright Stars ya Uganda. Kocha wa Sofapaka John Baraza amesema wanalenga kunasa huduma za beki, striker na kiungo, na tayari wameshatambua wachezaji wanaowataka kujaza nafasi hizo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako