• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais wa China asaini amri ya utaratibu wa mafunzo kwa jeshi la ulinzi

  (GMT+08:00) 2020-01-02 19:32:40

  Rais Xi Jinping wa China amesaini amri kwa ajili ya mafunzo ya askari wa ulinzi wa taifa, ikiwa ni amri ya kwanza kusainiwa na Kamati Kuu ya Kijeshi kwa mwaka 2020.

  Rais Xi, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi, amesema amri hiyo inasisitiza kuimarisha mafunzo ya kijeshi katika mazingira halisi ya vita.

  Pia amri hiyo imewataka wanajeshi kudumisha kiwango cha juu cha utayari na kuongeza mafunzo ya dharura na mapigano yasiyo ya silaha.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako