• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mjumbe wa taifa wa China kufanya ziara nchini tano za Afrika

  (GMT+08:00) 2020-01-02 19:41:17

  Mjumbe wa China ambaye pia ni waziri wa mambo ya nje Bw. Wang Yi atafanya ziara katika nchi za Misri, Djibouti, Eritrea, Burundi na Zimbabwe kuanzia Januari 7 hadi 13.

  Katika ziara hiyo, Wang Yi atakutana na viongozi wa nchi hizo na kujadiliana nao masuala mbalimbali ya pande mbili na yanayofuatiliwa kwa pamoja.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako