• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Waziri mkuu wa Uingereza kukutana kwa mara ya kwanza na mwenyekiti wa Tume ya Ulaya

  (GMT+08:00) 2020-01-06 09:43:32

  Shirika la habari la Uingereza limeripoti kuwa, waziri mkuu wa nchi hiyo Bw. Boris Johnson atakutana kwa mara ya kwanza na Mwenyekiti wa Tume ya Ulaya Bibi Ursula von Der Leyen, ambapo moja ya ajenda watakazojadili viongozi hao ni makubaliano ya biashara.

  Mazungumzo hayo yanakuja baada ya Von der Leyen kusema mwezi uliopita kuwa pande zote mbili zinahitaji kufikiria kwa kina kama muda wa mwisho wa mwaka 2020 unatosha kufikia makubaliano.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako