• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Makombora manne yarushwa kwenye Eneo Salama nchini Iraq

  (GMT+08:00) 2020-01-06 09:44:34

  Wizara ya Ulinzi ya Iraq imesema, makombora manne ya mortar yamerushwa kwenye Eneo Salama, ambalo lina nyumba kadhaa za ofisi muhimu za serikali ya Iraq na ubalozi wa Marekani, lililoko katikati ya Baghdad. Eneo hilo lenye kilomita za mraba takriban 10 lililoko ukingo wa magharibi wa Mto Tigris, linalengwa mara kwa mara na mashambulizi ya maroketi na mortar.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako