• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Bondia Joseph Parker kurudi ulingoni baada ya kuumwa na buibui

  (GMT+08:00) 2020-01-06 18:02:46

  Bondia Joseph Parker anatarajiwa kurudi ringini nchini Marekani baada ya meneja wake David Higgins kusema sasa yuko fiti, baada ya kuugua kutokana na kuchimwa na buibui. Bingwa huyo wa zamani wa uzani wa juu anatarajiwa kwenda Las Vegas hivi karibuni kuanza kambi yake ya mazoezi na kujiandaa kwa ajili ya pambano lijalo ambalo mpinzani wake bado hajatajwa. Parker ambaye alipoteza taji lake la WBO kwa Anthony Joshua Machi 2018, alipangiwa kukutana na Dereck Chisora mwezi oktoba mwaka jana, lakini ugonjwa aliopata kutokana na mkasa wa buibui ulimuweka nje ya ringi.

  .

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako