• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Vituko vya ubaguzi wa rangi vyaendelea kwenye viwanja vya soka Italia

  (GMT+08:00) 2020-01-06 18:03:10

  Vituko vya ubaguzi wa rangi dhidi ya wachezaji wa wasio wazungu vinaendelea kuonekana kwenye ligi ya Italia, lakini jibu la mwanasoka mkorofi Mario Balloteli limeleta machungu kwenye suala hilo. Mario Balotelli alikosoa vikali mashabiki wa Lazio baada ya kumfanyia vitendo vya ubaguzi baada ya kuifungia goli la kuongoza timu yake ya Brescia. Mecjho ilisimaishwa kwa muda ili kukemea kelele za kibaguzi. Hata hivyo mecho iliishwa kwa Lazio kupata ushindi wa magoli mawili kwa moja. Baadaye kwenye ujumbe wake kupitia Instagram Balloteli aliwaambia mashabiki wa Lazio Shame on you. Uongozi wa kabla ya Lazio umewakana mashabiki wake wabaguzi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako