• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Novak Djokovic aiongoza Serbia kuingia robo fainali michuano ya tenisi ya kombe la ATP nchini Australia

  (GMT+08:00) 2020-01-07 10:32:56

  Novak Djokovic ameiongoza Serbia katika robo fainali ya michuano ya tenisi ya kombe la ATP nchini Australia kwa kushinda mechi za mchezaji mmoja mmoja na wachezaji wawili wawili dhidi ya mahasimu wao Ufaransa. Baada ya Benoit Paire wa Ufaransa kumshinda Dusan Lajovic, Mchezaji namba mbili duniani Djokovic alimlaza chali Gael Monfils kwa 6-3 6-2. Djokovic na Viktor Troicki waliwashinda Nicolas Mahut na Edouard Roger-Vasselin kwa 6-3 6-7 (5-7) huko Brisbane Australia. Naye Rafael Nadal wa Hispania alimshinda mchezaji wa Uruguay na kukamilisha nane bora.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako