• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Lukaku akoleza moto wa manao Inter Milan

  (GMT+08:00) 2020-01-07 17:37:49

  Mshambuliaji nyota Romelu Lukaku amefunga mabao mawili katika mchezo wa Ligi Kuu Italia na kufikisha mabao 14 tangu alipojiunga na Inter Milan akitokea Manchester United ambako alishindwa kung'ara chini ya kocha Ole Gunnar Solskjaer. Lukaku ambaye ni mchezaji wa kimataifa wa Ubelgiji ameonyesha kiwango bora tangu alipotua Inter Milan kwa pauni milioni 74 mwezi Agosti mwaka jana.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako