• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • BASKETBALL: Luka Doncic ampoteza vibaya LeBron kwa triple-double NBA

  (GMT+08:00) 2020-01-07 17:39:07

  Baada ya nyota wa Ligi ya Kikapu nchini Marekani (NBA) LeBron James kufunga triple-double ya tisa katika msimu huu, mpinzani wake Luka Doncic amejibu mapigo na kufunga kwa mara 11 leo asubuhi. Point 38, rebound 11 na assist 10 ambazo Luka ameifungia timu yake ya Dallas Mavericks katika ushindi wa point 118 – 110 dhidi ya Chicago Bulls zimethibitisha ubora wa mchezaji huyo kwa kufunga triple-double mbele ya LeBron. Luka ni mchezaji wa zamani wa timu ya kikapu ya Real Madrid, na ameendelea kuthibitisha kuwa wachezaji kutoka Ulaya wanaweza kufanya kweli kwenye NBA.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako