• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda: Majumba mapya ya biashara kujenga Kigali

  (GMT+08:00) 2020-01-07 19:11:54
  Majumba mawili ya biashara, yanatarajiwa kujengwa mjini Kigali hivi karibuni lile la Masterpiece Mall and Silverback Mall.

  Masterpiece Mall itajengwa kwa gharama ya dola milioni 16 kwenye barabara ya Remera-Kanombe huko Giporoso.

  Nayo Silverback Mall, itakuwa eneo la Kicukiro.

  Mwekezaji wa Masterpiece Mall Chirag Daswani, ambaye ni Mkurugenzi Msaidizi wa Soko ya Uwekezaji ya SRI, amesema tayari wamebuni muundo wa jingo hilo ambalo litahudumia wakaazi wa maeneo ya Kicukiro, Kabeza, Kimironko, vitongoji vya Kanombe na watu walio karibu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako