• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: SUPERCUP ya Hispania kuanza leo

  (GMT+08:00) 2020-01-08 16:50:10

  Michuano ya SuperCup ya Hispania iliyopewa msukumo mpya inatarajiwa kuanza kutimua vumbi leo nchini Saudi Arabia, hatua ambayo itaongeza kipato kwa Shirikisho la Soka la Hispania. Hata hivyo, michuano hiyo imeyakasirisha makundi ya haki za binaadamu na mashabiki nchini humo. Real Madrid na Valencia zinakutana katika nusu fainali ya kwanza mjini Jeddah kabla ya Barcelona kupambana na Atletico Madrid kesho Alhamis. Mchezo wa fainali utafanyika siku ya Jumapili.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako