• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Trump asema shambulizi la Iran halikusababisha kifo na majeruhi kwa wanajeshi wa Marekani

  (GMT+08:00) 2020-01-09 08:57:10

  Rais Donald Trump wa Marekani amesema, shambulizi la Iran dhidi ya vituo vya kijeshi vya Marekani nchini Iraq halikusababisha kifo wala majeruhi kwa wanajeshi wa Marekani, Marekani itaweka vikwazo vipya vya kiuchumi dhidi ya Iran mara moja.

  Rais Trump amesema inaonekana kuwa Iran imesimamisha hatua yake, na hilo ni jambo zuri kwa pande mbalimbali husika na dunia nzima. Amesema Marekani itaweka vikwazo vipya vya kiuchumi dhidi ya Iran mara moja. Pia amesema Marekani haitaki kutumia nguvu, na uwezo wake wa kijeshi na kiuchumi ni mbinu nzuri zaidi ya kuizuia Iran.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako