• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wengi wa wahanga wa ajali ya ndege Tehran ni waIran na waCanada

  (GMT+08:00) 2020-01-09 09:31:27

  Waziri wa mambo ya nje wa Ukraine Bw. Vadym Prystaiko amethibitisha kuwa, wengi wa waliofariki kwenye ajali ya ndege ya Ukraine iliyotokea huko Tehran, ni raia wa Iran na Canada, na waukraine 11 wakiwa wafanyakazi 9 wa ndege na abiria wawili. Bw. Prystaiko amesema kupitia Twitter kuwa, wairan 82 na wacanada 63 walikuwa kwenye ndege hiyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako