• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Waziri wa ulinzi wa Marekani asema Iran ilirusha makombora 16 kutoka sehemu tatu

  (GMT+08:00) 2020-01-09 09:35:35

  Waziri wa ulinzi wa Marekani Mark Esper amesema katika shambulizi lililotokea jumanne, Iran ilirusha makombora 16 ya masafa mafupi kutoka sehemu tatu nchini Iran.

  Bw Esper amesema makombora 11 kati ya 16 yamefikia kituo cha kijeshi cha Al-Asad na lisilopungua moja kufikia kituo kingine karibu na Erbil. Ameongeza kuwa makombora hayo yameharibu mahema, barabara za ndege, maegesho na helikopta moja.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako