• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Nafasi ya Zahera Yanga yachukuliwa na Mbelgiji

  (GMT+08:00) 2020-01-09 17:03:45

  Mabingwa wa kihistoria wa ligi kuu soka Tanzania Bara Young Africans wanatarajia kumpa kazi ukocha Mbelgiji, Luc Eymael ambaye anarithi mikoba ya Mkongo Mwinyi Zahera. Luc Eymael mwenye umri wa miaka 60, ataifundisha Yanga SC ambayo ipo chini ya kocha wa muda Charles Boniface Mkwasa huku. Kazi yake ya mwisho kabla ya kutua Yanga, kocha Luc Eymael ametoka kuifundisha klabu ya Black Leopards kutoka nchini Afrika Kusini mwaka jana 2019.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako