• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Kocha Cameroon aipongeza Kenya

  (GMT+08:00) 2020-01-09 17:05:16

  Kocha wa Cameroon Jean Rene Akono amesema hata miujiza haiwezi kupinga tiketi ya Kenya katika michezo ya Olimpiki ya Tokyo ya mwaka 2020 baada ya kuuongoa timu yake kushinda magoli 3 – 0 dhidi ya Misri hapo jana. Timu hiyo ina point 10 kutoka mechi nne na inaongoza kwenye msimamo wa mashindano hayo, ikisubiri matokeo ya mechi kati ya timu ya Kenya Malkia Strikers dhidi ya Nigeria itakayochezwa leo. Kocha huyo amesema Kenya ni timu bora na inastahili kuiwakilisha Afrika katika mashindano ya Olimpiki ya Tokyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako